PK
Pauline Kea
2quotes
Quotes by Pauline Kea
"
Hapo basi - kijikeki. Kwa nini wewe upate kidogo? Sagamoyo ni kwenu, sherehe ni zenu, ufanisi ni wenu na keki kubwa ni ya kina nani?Uhalisia wa mambo umekusibu; fungua macho uone. Keki ya uhuru imeliwa kwingine, mwaletewa masazo.